254 M3 NATION (Nganya Lovers)
254 M3 NATION (Nganya Lovers)
February 23, 2025 at 07:42 PM
Lakini msihate Mr. Hattrick 🥲Hii gari kama unahate mambo ni mawili: 1. Unaichukia juu inapendwa na wasee wengi 2. Ni kali kuliko favorite yako, na juu favorite yako haiko same level na oppo unaamua kuhate So wewe uko pande gani?
🇨🇦 🇸🇦 💩 5

Comments