BashBuzz
February 23, 2025 at 11:01 AM
Rais William Ruto amepata fursa ya kutalii katika meli ya kifahari ya MS Norwegian Dawn,jijini Mombasa.
Aliambatana na Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir