Gang Gang Familly 🔨🛠️🪓⚒️💰
Gang Gang Familly 🔨🛠️🪓⚒️💰
February 25, 2025 at 01:04 PM
Wakati nasoma moja ya vitabu vyangu bora kabisa "School of Money " Cha Mwamba Olumide . Kwenye moja ya sababu alizoziita "Universal reasons for poverty " anazungumza kuhusu "ignorance". Sasa moja ya kauli imenichoma Sana ni Ile kusema "many people are students in the school of ignorance"😞. Kwamba watu wengi ni wanafunzi wa shule ya ujinga , kiufupi wanasoma shule ya ujinga na wanajifunza ujinga na kuuishi huko. Anasema watu wamekuwa wajinga kwenye maeneo makubwa matano. Eneo la tano utashangaa Sana. 01. Who they're Mwamba anasema Kama siku ukigundua wewe halisi ni nani kama ilivyokusudiwa na Muumba hautakaa Kwenye maisha ya Umasikini na magumu. 02.Ignorance of what they have . Anasema watu wengi tumekuwa Masikini kwasabu hatujui tuna potential gani kwahiyo hata Kama tunazo zinakuwa ni useless potential 😞. 03.Ignorance of what they can do. Hapa anasema Kuna wale wanasema "nimefanya kila nilichopaswa kufanya" , sijui Cha kufanya tena .Kiufupi ni eneo la watu waliojikatia tamaa na kuona hakuna kitu wanaweza kukifanya. 04.Ignorance of what they should avoid . Jamaa anasema watu Masikini ni watu wanaofanania popote pale Duniani, anasema wanaruhusu vitu vinavyosabavisha umasikini kukaa kwao. Acha kulaumu wazazi....anasema unapaswa kujua vitu gani vya kuepukana navyo ili uwe na Uhuru wa kifedha. 05.Ignorance of Wealth creation principles and strategies. Watu wengi hawajui kanuni mbinu za kutengeneza utajiri. Niishie hapa nitafafanua zaidi kwenye Page zangu . Niambie wewe umefungwa na ujinga gani hapo? Nimekuletea tu ushituke Gang Gang Familly 🔨

Comments