
Senator Essy Okenyuri Nyaituga
February 23, 2025 at 04:02 AM
Daudi naye hakujua kuwa ndani yake alikuwa amebeba ufalme tena wenye hatima nzito ya Taifa na hata ya ndugu zake.
Nakuombea siku hii Mungu akufunulie uujue uwezo aliouweka ndani yako.Tena akuinue kwa viwango vya juu uwe msaada hata kwa wale waliokudharau na kukutakia mabaya.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏾🙏🏾
Sen. Esther Okenyuri
🙏
❤️
👍
9