
Afya Yako
February 2, 2025 at 06:40 PM
6. _Punguza Msongo wa Mawazo_ : Tumia mbinu za kupumzika kama vile kutafakari, maombi, kupumua kwa kina, au kusikiliza muziki wa utulivu kabla ya kulala.
7. _Usilazimishe Kulala:_ Ikiwa huwezi kulala, simama na fanya kitu kinachokutuliza, kama kusoma kitabu au kusikiliza muziki wa utulivu, mpaka uhisi kuchoka.
8. _Tumia Ratiba ya Kupumzika:_ Unda mpangilio wa utaratibu wa kupumzika kabla ya kulala, kama vile kuoga maji ya moto, kusoma kitabu, au kunywa chai ya mimea (kama chai ya chamomile).
9. _Sex(tendo la ngono):_ hii ni tiba ya usingizi,hufanya mwili ku relaxy na akili pia vile vile huimarisha mzumguko wa Damu!
👍
1