Afya Yako
Afya Yako
February 17, 2025 at 03:57 PM
Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa _Afya Yako,_ Tafadhali kunywa kistaarabu 🍻Ni kosa la jinai kuendesha gari ukiwa na kiwango cha pombe kwenye damu kinachozidi kile kinachoruhusiwa na sheria. Kwa Tanzania, kiwango hicho ni _0.08% ya Blood Alcohol_ Concentration (BAC) kwa madereva wa kawaida na 0.05% kwa madereva wa magari ya biashara. 🍻Ukikamatwa ukiwa umelewa, unaweza kutozwa faini au kufungwa jela kulingana na uzito wa kosa.
😂 👍 3

Comments