
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
February 12, 2025 at 06:35 AM
https://youtube.com/shorts/mkQQKw-a9lI?feature=share
❤️ Take a Closer Look at Your Heart! ❤️
Did you know that an echocardiogram is like an ultrasound for your heart? ✨ It’s a safe, painless test that helps detect heart valve diseases, weakened heart muscles, congenital defects, and even fluid around the heart.
For a deeper insight, a stress test measures how your heart performs under physical activity. It helps diagnose coronary artery disease, irregular heart rhythms, and assess heart strength after a cardiac event.
📞 Book your checkup today: +255 760 888 444 and for executive clinic through +255 760 888 333
❤️ Chunguza Afya ya Moyo Wako! ❤️
Je, unajua kuwa echocardiogram ni kama ultrasound ya moyo wako? ✨ Ni uchunguzi salama na usio na maumivu unaosaidia kugundua magonjwa ya valvu za moyo, misuli dhaifu ya moyo, kasoro za moyo za kuzaliwa, na hata maji yanayozunguka moyo.
Kwa uchunguzi wa kina zaidi, kipimo cha msongo wa moyo (stress test) hupima jinsi moyo wako unavyofanya kazi wakati wa shughuli za mwili. Hii husaidia kutambua ugonjwa wa mishipa ya moyo, mapigo yasiyo ya kawaida, na hali ya moyo baada ya mwili kufanya kazi ya kushughulisha moyo.
📞 Wasiliana nasi nakuweka miadi yako ya uchunguzi wa moyo kupitia: 0760 888 444
na kwa kliniki binafsi kupitia 0760 888 333
#hearthealth #echotest #stresstest #healthyheart #afyayamoyo #moyoimara