
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
February 19, 2025 at 11:54 AM
💙 Matibabu ya Moyo ya Kibingwa Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam 💙
Afya yako ya moyo ni muhimu! Tunatoa huduma za kisasa za matibabu ya moyo, zikiwemo:
✅ Uchunguzi wa Moyo (ECG, Echocardiogram, Stress Echo) 🏥
✅ Matibabu ya Kibingwa (Angiogram, Angioplasty, Pacemaker) 💉
Tunatibu magonjwa kama shinikizo la damu, kufeli kwa moyo, ugonjwa wa mishipa ya moyo, mapigo yasiyo ya kawaida, na mengineyo!
📞 Weka miadi yako leo: +255 760 888 444