AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
February 25, 2025 at 11:31 AM
Msikilize Dkt. Julius Msukuya, Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo akitufahamisha zaidi kuhusu Shinikizo la juu la damu, visababishi pamoja na namna ya kuepuka tatizo hili. Kwa maelezo zaidi juu na kupanga kufanya uchunguzi wa afya ya moyo wako tafadhali wasiliana nasi kupitia 0760 888 444. Hear from Dr. Julius Msukuya, Cardiologist, as he drops knowledge on high blood pressure, what causes it, and how you can avoid it before it becomes a problem. Whether it's diet, stress, or lifestyle, he's got the tips to keep your heart healthy! 💪 Want to know more or schedule a heart checkup? Slide into our DMs or give us a call at 0760 888 444. 📞

Comments