AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
February 28, 2025 at 05:13 AM
Kunyonyesha wakati wa Ramadhan – Ushauri wa Dkt. Mariam Noorani 🤱🌙
Wamama, unaweza kunyonyesha kwa usalama wakati wa Ramadhan! Kunywa maji ya kutosha, kula chakula chenye lishe, na sikiliza mwili wako. Dkt. Mariam Noorani anakupa mwongozo wa kitaalamu ili kuhakikisha afya bora kwako na mtoto wako. 💙
Breastfeeding During Ramadhan – Tips by Dr. Mariam Noorani 🤱🌙
Mothers, you can still breastfeed safely during Ramadhan! Stay hydrated, eat nutritious meals, and listen to your body. Dr. Mariam Noorani shares expert advice to help you and your baby stay healthy. 💙
❤️
1