
All Agricultural Commodities From the East, Central, North and South Africa
February 6, 2025 at 12:13 PM
Tumepokea maombi kwa wadau na wateja wetu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa tuwe tunatumia pia Lugha adhimu ya Kiswahili kwa taarifa na Matangazo yetu ili waweze kuelewa kwa kuwa wao Kiingereza ni changamoto kwao.
Wazo hili tumelipokea na tutaendelea kuleta matangazo kwa Lugha mbili Kiswahili na Kiingereza
❤️
1