All Agricultural Commodities From the  East, Central, North and South Africa
All Agricultural Commodities From the East, Central, North and South Africa
February 13, 2025 at 12:10 PM
Kwa watu wa DRC hususani maeneo ya Katanga na Lubumbashi wanaohitaji Sukari nawaomba tuwasiliane mapema kabla ya kuanzia safari ya kuja ili niandae mapokezi yako. Siyo muda wote nipo Dar es Salaam nakuwa maeneo mengine kufuatilia bidhaa. Hivyo u apokuja nijuze mapema niweze kuwepo unapokwenda kuchukua Sukari yako. +255 754 816 812 Sukari ipo na hakuna atakayekosa...!!! Karibu TANZANIA.!

Comments