MKUNGA WELLNESS HEALTH CARE 🩺🩸
February 20, 2025 at 12:42 PM
Ni Damu ndiyo inaingia ndani ya uume na kuufanya usimame ! Kama mishipa ni imara uume utasimama Kwa muda mrefu bila kusinyaa!
.
.
. 👉Kusinyaa ni damu imetoka kwenye uume na kupelekwa sehemu nyingine za mwili !
Kama mishipa ina shida uume utasimama ukiwa lege lege ,ni ishara damu haingii ya kutosha ikajaza uume vizuri .Kwa sababu uume ni kama bomba la maji ! Husinyaa na kutanuka! .
.
.
👉Mwanaume akitazama sana Picha za ngono kwa muda mrefu ubongo unashindwa kutuma taarifa kwenye uume ili moyo upampu Damu ya kutosha kwenda kwenye uume ! Ndiyo maana wengi wanashindwa kusimamisha kabisa ! Mfano Mwanaume akimuona Mwanamke akiwa uchi ,ni macho yameona ubongo ukatafsiri taarifa zinatumwa kwenye uume hatimaye ngoma inadinda !
Sasa akili ya mwanaume ikizoea Picha za x inaathirika ! .
.
.
👉Kujichua ,Mishipa inakosa kipenyo cha kubeba damu ya kutosha ,pia mishipa ya Vein Inakufa valvu ,Valvu zikifa Damu inaingia na kutoka kwenye uume muda huo huo ! Ni kama valvu ya Tairi la Baiskeli ambalo Valvu yake ni mbovu ,