MKUNGA WELLNESS HEALTH CARE 🩺🩸
MKUNGA WELLNESS HEALTH CARE 🩺🩸
February 22, 2025 at 10:06 AM
🩸Msukumo hafifu wa damu katika sehemu hiyo, asilimia kubwaa ya wanaume wenye mafuta mengi katika kiuno na tumbo (kitambi)hua na upungufu wa nguvu za kiume , sababu mafuta kuzunguka kiuno hupunguza kasi ya damu katika maeneo hayo. 🩸Tabia ya kujichua kwa mwanaume hupelekea kulegea na kusinyaa kwa mishipa huathiri msukumo wa Damu sehemu za viungo vya uzazi.Pia huweza kupelekea pumbu kusinyaa na kujikunja ,kokwa kuwa dogo na uume huweza kunywea kama wa mtoto mdogo . 🩸Unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu. 🩸mwanaume mwenye tatizo hili huchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo. Mwanaume anaezingatia mtindo bora wa maisha huepuka na tatizo la unene ku *TUMIA ARG NA MACCA KUWA SAWA MFUMO WA MISHIPA NA MZUNGUKO WA DAMU*

Comments