
MKUNGA WELLNESS HEALTH CARE 🩺🩸
February 23, 2025 at 07:50 AM
Uzito mkubwa ni chanzo Cha upungufu wa nguvu za kiume
Pia husababisha maradhi mengine kama pressure, kisukali, maumivu ya joint na mifupa
Kama changamot yako kubwa ni uzito karibu uanze program itakayokusaidia kupungua uzito ndani ya siku tisa
Utakuwa kwenye usimamizi wa miongozo ya vyakula na mazoez 💪