Abdulsamad Channel 
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 18, 2025 at 02:13 PM
                               
                            
                        
                            *Uhusiano wa Brazil na Zanzibar* unakua kwa kasi kikubwa sana hasa katika kipindi hiki cha utawala wa awamu ya Dkt Hussein Ali Mwinyi, hasa kwa kuzingatia kuimarika kwa uhusiano kupitia utalii, kubadilishana uzoefu wa taaluma mbali mbali, utamaduni na ushirikiano wa kiufundi, haswa katika nyanja kama michezo, afya, usalama na uwekezaji.
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            👍
                                        
                                    
                                    
                                        1