
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
January 31, 2025 at 04:07 AM
Asalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh
Katika baraka za Ijumaa hii, tunawaalika wanachama wa Khayrat Imani Groups kushiriki katika mchango wa Juzuu na Misahafu kwa ajili ya ndugu zetu Waislamu kutoka Kitale na pia kwa Ustadh Babu, ambao wametuomba msaada kutokana na uhaba wa vitabu hivi vya dini.
Lengo letu ni kupata Juzuu 50 na Misahafu 30, In Shaa Allah, ili kuendeleza elimu ya Qur'an katika maeneo haya mawili..
Tunawaomba tushirikiane kwa moyo wa Ikhlas ili kufanikisha mchango huu.
☑ M-PESA Kenya: 0791590308 – Said Yusuf
☑ Tigo Pesa / Yas (Tanzania): 0678825298 – Hafsa Saleh
☑ Airtel Money (Tanzania): 0696925298 – Hafsa Saleh
Allah atujalie tufanikiwe katika juhudi hizi na atufanyie kuwa sadaka yenye thawabu kubwa. Ameen.