
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
January 31, 2025 at 05:36 AM
hakuna utakachoondoka nacho isipokuwa sanda nyeupe.
Allah amekupa fursa ya afya, nguvu, na mali; tumia fursa hizi katika njia yake, kwa kutenda mema, kumtumikia na kusaidia waja wake, kwani hayo ndiyo yatakayokufaidia siku ya Kiama.
❤️
2