
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
February 1, 2025 at 01:25 AM
Ukiwa na dhiki na shida na matatizo ya kifedha soma uradi huu kwa wingi .
حَسْبُنَا اللَّهُ وَنِعْمَ الْوَكِيلُ
Hasbunallāhu wa ni‘mal-wakīl
Allah anatutosheleza, na ni mtegemewa bora."
Kwa uwezo wa Allah mambo Yako yatafunguka.
Kuwa na Imani na yakini
❤️
👍
🙏
5