IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
February 6, 2025 at 06:21 PM
Asalam alaykum warahmatuAllah wabarakat........ Kesho, tukijaaliwa, tutaendelea na mpango wa kununua Juzuu na Misahafu kwa ajili ya kusambaza katika madrasa na maeneo yenye uhitaji. Tunawaomba ushirikiano wenu katika kuchangia mchango wenu kwa ajili ya kufanikisha jambo hili lenye kheri, in shaa Allah. Tuma mchango wako kupitia: 📌 MPESA Kenya: 0791590308 – Said Yusuf 📌 TIGO Pesa (Tanzania): 0678825298 – Hafsa Saleh 📌 AIRTEL Money (Tanzania): 0696925298 – Hafsa Saleh Mwenyezi Mungu aubariki mchango wenu na aukubali kama amali njema.
❤️ 1

Comments