
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
February 20, 2025 at 06:51 PM
Hii Ramadhani inayokuja huenda ikawa Ramadhani yetu ya mwisho. Tuiingie kwa unyenyekevu na ibada iliyojaa ikhlasi, tukifunga na kuswali kana kwamba hatutopata nafasi nyingine tena.
Tusifanye mchezo wala mzaha na ibada hii tukufu, bali tujitahidi kuitekeleza kwa ukamilifu, tukitafuta radhi za Mwenyezi Mungu kabla ya muda wetu hapa duniani kwisha.
🙏
1