
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
February 21, 2025 at 03:37 AM
*KHAYRAT IMANI GROUP PROGRAM YA IJUMAA YA LEO.*
*Asubuhi Njema na Nuru ya Ramadhani Inang'ara*
Alhamdulillah, ni fadhila za Mwenyezi Mungu tumeamka salama katika nuru ya Ramadhani inayokaribia. Wapenzi wanachama wetu na ndugu Waislamu, tunawaomba kushiriki katika harakati za Ijumaa ya leo kukamilisha gharama za ununuzi wa gunia 10 za mchele, kila moja likiwa na kilo 25 (jumla ya kilo 250).
Ijumaa iliyopita, tulifanikiwa kukusanya KSh 12,000. Leo, tuungane tena kwa moyo wa ukarimu ili tukamilishe kiasi kilichobaki, kuhakikisha kwamba kabla ya Ramadhani, mchele huu unawafikia watoto yatima wanaohitaji.
Tukishiriki kwa pamoja, tutapata baraka tele kutoka kwa Maulana.
Unaweza kuchangia kwa kununua gunia moja la kilo 25 kwa KSh 3,500 au kwa mchango wowote kupitia njia zifuatazo:
📌 MPESA Kenya: 0791590308 (Said Yusuf)
📌 TIGO Pesa Tanzania: 0678825298 (Hafsa Saleh)
📌 Airtel Tanzania: 0696925298 (Hafsa Saleh)
Tushirikiane kwa ajili ya thawabu na radhi za Mwenyezi Mungu!
👍
1