
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
February 21, 2025 at 07:09 AM
*IJUMAA YA KHERI NA MIRADI YA KHAYRAT IMANI GROUP*
*Balance in hand 12000ksh*
*Ndugu zangu katika Imani, kama ilivyo desturi yetu kila Ijumaa, leo tunajitolea kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa gunia 10 za mchele (kilo 25 kila moja).*
*Mchele huu utapelekwa katika vituo vya kulelea mayatima, tukitimiza wajibu wetu wa kusaidia wale wanaohitaji. Chochote utakachochangia leo kitadhibitiwa na Khayrat Imani Group kwa uaminifu na umakini hadi zoezi hili litimie kikamilifu.*
🌿 Njia za kuchangia:
🇰🇪 MPESA Kenya: 0791590308 – Said Yusuf
🇹🇿 TIGO PESA: 0678825298 – Hafsa Saleh
🇹🇿 Airtel Tanzania: 0696925298 – Hafsa Saleh
Tushiriki kwa pamoja katika jambo hili la kheri. Mwenyezi Mungu atubariki sote na azidishe baraka katika riziki zetu. Ameen.
🇰🇪
1. Z Ali-200ksh
2. F .Mwamchera-1000ksh
3. H.mwarandu-500ksh
4. R juma-200ksh
5. Z salim-100ksh
6. Kcb-500ksh
7. M ramadhani -3000ksh
8. A ali-200ksh
9. Z kijala-1024ksh
10. Arif juma -500ksh
11. S.ahmed-200ksh
12. B.ayub-300ksh
13. K halima-300ksh
🇹🇿
1.