InteriorKE
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                January 31, 2025 at 09:56 AM
                               
                            
                        
                            Wananchi, hasa kwa wale ambao wamekuwa wakiogopa kusema, huu sio wakati wa kuogopa askari. Tunapoenda mashinani mjitokeze kwa wingi kueleze shida zinazowakumba. Kama kikosi kipya cha Kitengo cha Kitaifa cha Polisi wa Utawala (NGAPU) tutashirikiana na tutasaidiana.