Wazaelimu
February 25, 2025 at 05:56 PM
Hii ni kwa Walimu na Wanafunzi hasa wa Form One Syllabus Mpya:
Katika kufundisha na kujifunza syllabus iwe mwongozo wako, unaweza kuongeza content (maudhui) ya somo hata kama hayapo katika kitabu cha TIE ila fata syllabus
Na mwisho Hakikisha unafanya *mazoezi & quizzes* zote zinazopatikana katika kitabu cha TIE.
Ongeza content (maudhui) ya somo kulingana na syllabus ila usiache kusoma au kufundisha kilichopo katika kitabu cha somo husika kutoka TIE.
Waza Elimu✍🏽
👍
❤️
🙏
😂
24