
AIRPRINT
February 18, 2025 at 08:42 AM
UBUNIFU NA UCHAPISHAJI WA T-SHIRTS KWA UBORA WA JUU! 🎨🖨️
Tunatengeneza T-shirts za kipekee kwa ajili ya biashara, matukio, na matumizi ya binafsi!
✅ T-shirts za Kampuni & Wafanyakazi 🏢
✅ T-shirts za Sherehe & Matukio 🎉
✅ T-shirts za Promosheni & Branding 🚀
✅ T-shirts za Mashirika & Vikundi Maalum 🤝
📌 Tunabuni na kuchapisha kwa rangi angavu, muonekano wa kitaalamu, na ubora wa kudumu!
📍 Sinza Palestina, Dar es Salaam