NAIROBI GOSSIP CLUB 💯
NAIROBI GOSSIP CLUB 💯
February 6, 2025 at 01:53 PM
After Mmepigana Romance vizuriii ,Dem anakwambia Beb Siko SAFE , Vaa Condom🙆🏽‍♂... Wewe Unaanza issues ,ati Ooh kwani Hunitrust ,ooh ama Ulilala na Mtu Mwingine , ooh Mii sipendi huo Ufala😂. Dem anakwambia Cheki haikua Vita so Werarua tu mali 😥...but ukifika Climax ,Make sure Umepull Out💔.. Hakuna Mwanaume hukubali kupull out my sister usindanganywe, instead anasindilia ndani nkama Kakoto 🤣. After Game kuisha Dem anakwambia Koz Umemess nipee 200 bob za P2 🙆🏽‍♂... Mwanaume hauna any Umesota Kama Shetani , unaanza kumwambia Tumia Zako Ntakurudishia ,and Dem hana Any💔. After few Months Dem anakwambia ako Pregnant 🤰🏼... Mwanaume Unaanza Zile za ...Wee ni Mwanamke waaina Gani ,so Carelss ,Hujui kujipanga ,kwani Hujui siku Zako ... Mbona huna Family planning kwa Mwili😭... bila kujua Kuna Waschana wakitumia Family planning inakataa their Body..its eitha Wanone excess ama Anyeshe whole Month 🤬.... you as a Man unaanza kumwambia Am too Young i cant be a Father ,mara am Not Ready to Marry , Mara niko na goals nafaa kuachieve ..wakati wewe Ushaharibia mtoto wa Wenyewe Maisha 😭😭... So Bro kama Huwezi tumia CD , and you're Not Ready to be a Father ...Wachana na Ngono ❌ Abstain ,Huwezi kufa ,Badala ya Kuharibia Msichana wa wenyewe Maisha, Juu tuu Anakupenda 🙆🏽‍♂.. coz When a Woman Loves you ❤...She can Do anything For you ✅ ©️ *GHOST*
❤️ 🙇‍♂️ 12

Comments