FURSA ZA AJIRA - Opportunities Hub
February 5, 2025 at 05:06 PM
Habari zenu
Madereva 20 Wanahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam /Dodoma.
Wanahitajika wenye uzoefu wa kuendesha Magari makubwa
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri atapewa kipaumbele.
Ambatanisha Picha yako ndogo ya Passport na CV yako: [email protected]
Utapigiwa simu.
tembelea www.fursa.work