FURSA ZA AJIRA - Opportunities Hub
February 18, 2025 at 06:12 PM
NAFASI ZA KAZI
CMG MOTEL -TARIME
Hotel ya nyota 5 , CMG HOTEL iliyopo Tarime mjini , inatangaza nafasi zifuatazo :
1: Profession Cocktails barlady / Barlady
2 : Store keeper
Wawe na uzoefu angalau miaka miwili na pia awe amesomea
Deadline 18:02:2025
Maombi yatumwe kwa [email protected]
www.fursa.work