
Yuvinus Live
February 17, 2025 at 07:02 PM
*TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TABIBU WA AFYA YA KINYWA NA MENO( DENTAL THERAPIST - DT ).*
*MARIE STOPES POLYCLINIC MAKAMBAKO - NJOMBE.*
*MAJUKUMU.*
1 : Kutoa huduma za kinga (Afya ya msingi) na tiba.
2: Kutambua na kutibu magonjwa.
3:.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
*MAHITAJI WAKATI WA KUOMBA.*
1: Barua ya kuomba kazi.
2: Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV .
3: Cheti Cha taaluma ( Diploma in Clinical dentistry certificate).
4: Wasifu mwingine wa Muombaji (CV).
MAOMBI YATUMWE KWA NJIA YA
Email : *[email protected].* Au fika kituoni.
Kwa mawasiliano Zaidi :
Call : 0620647148/ 0754018966.