TBS - Viwango
February 16, 2025 at 02:21 PM
Meneja wa TBS Kanda ya Mashariki Bi. Noor Meghji akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa shehena ya mtumba ya nguo za ndani iliyopigwa marufuku kuingizwa nchini kiasi cha tani hamsini (50).
Shehena hiyo imekamatwa wakati wa zoezi la ukaguzi wa bidhaa katika masoko na maghala ya kuhifadhi bidhaa mwanzoni mwa mwezi Februari, 2025 jijini Dar es Salaam