TBS - Viwango
TBS - Viwango
February 23, 2025 at 05:08 AM
Mkurugenzi Mkuu (TBS) Dkt. Ashura Katunzi, akiwa pamoja na wafanyakazi wa TBS katika mazoezi wakati wa uzinduzi wa Viwango Jogging mapema leo jijini Dar es salaam. Dkt. Katunzi aliwaasa wafanyakazi wote kufanya mazoezi ili kuboresha afya na hatimaye kuongeza ufanisi katika kazi.

Comments