TBS -  Viwango
TBS - Viwango
February 27, 2025 at 08:54 AM
Mkurugenzi Mkuu (TBS), Dkt. Ashura Katunzi ( wa pili kulia ) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Malawi Agnes Richard Kayola( katikati) wakati wa Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano( JPCC) kati ya Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Lilongwe, Malawi mapema wiki hii. Mkutano huo ulilenga kujadili masuala ya kimkakati ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kiuchumi na kijamii kati ya Mataifa hayo mawili.
👏 1

Comments