TBS - Viwango
TBS - Viwango
February 28, 2025 at 05:07 AM
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi (TBS) Prof.Othman C. Othman, pamoja na wajumbe wa Bodi wakikagua mradi wa ujenzi wa Viwango House uliopo Ndejengwa jijini Dodoma. Prof. Chande amewaagiza Wakandarasi kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa wakati ili kusogeza huduma karibu kwa wadau wa Kanda ya Kati na mikoa iliyo karibu nayo.

Comments