Vegatechnologies
Vegatechnologies
February 5, 2025 at 02:58 PM
Umeshawahi kukutana na Picha kwenye simu yako na Hujui imetokea wapi..? Iko hivi kwenye group za watsapp watu wengi hutuma picha/ video mbalimbali zinaweza kuwa nzuri au mbaya.. Hizi picha bahati mbaya kama hujui zinaweza kukufanya uonekane wa Hovyo pale mtu atakapoishika simu yako. Jambo ambalo sio kweli.. Sasa ili kuzuia jambo hili lisitokee WATSAPP wana option ya kuzuia picha au video zisiingie moja kwa moja kwenye simu yako.. Na pale utakapo ihitaji utaingia kwenye chats hizo na kudownload mwenyewe Twende pamoja

Comments