
Vegatechnologies
February 6, 2025 at 04:40 AM
Katika moja ya tukio lililotokea jana Katika Ukurasa wa X almaarufu kama twita
Wadukuzi wamefanikiwa kuuchukua umiliki wa
Account ya mfanyabiashara maarufu kwa jina la. MODEWJI
Katika kufanikisha hilo ili kipata kuaminika walitoa video ambayo inamuonyesha mo dewji FEKI akizungumza kuwa ameanzisha Sarafu ya kimtandao ambayo ataianzisha mda mfupi
Na aliomba watu waanza kuichukua... Tazama video fram 2
Jambo hili linazua mjadala kuhusu mambo ya akili bandia inakoelekea kwa maana inaenda kuwa hatari
.
Fikiri kwamba mtoto wako ametengenezewa video akidai kuwa anaumwa na amelazwa na ukaonyeshwa... Huki kipindi cha nyuma tulizoea kupigiwa simu tu na kuambiwa mtoto. Wako anaumwa na inahitajika hela ya matibabu. Mpaka sasa wazazi bado wanatapeliwa..
Je ukichanganya na uwezo huu wa Akili bandia kufanya yote haya unazani tuko salama?