Vegatechnologies
February 13, 2025 at 02:45 PM
Jinsi ya Kutumia Simu kama Mic Ukiwa na Redio Pekee
#vegatechnologies | SmartChoiceforSmartPeople
Katika dunia ya sasa, teknolojia imeleta suluhisho rahisi kwa changamoto nyingi. Je, unajua unaweza kutumia simu yako kama kipaza sauti (microphone) ukiwa na redio pekee? Katika post hii, tutakuonyesha hatua rahisi za kufanya hivyo.
Vifaa Unavyohitaji:
Simu ya mkononi
Redio yenye kipengele cha AUX au Bluetooth
Twende pamoja
👍
1