Endson Mabamba
Endson Mabamba
February 25, 2025 at 10:22 AM
*Tangazo Maalumu la Ibada ya Leo* Wapenzi wa Kristo, tungependa kuwajulisha kwamba leo hatutakuwa na ibada ya pamoja. Tafadhali kila mtu atengeneze muda binafsi wa kuomba, bila kusahau kuombea familia yako. Katika maombi yako, kumbuka tunawaombea: • Edna Mashauri • Kezia Mtaki • Stephen Manyanza • Nakadongo Fares • Deborah Musese • Gloria Mkonyi • Esther Moraa • Hellen Mteki • Joshua Mtae • Niwael Andrew Mungu awabariki na awajalie nguvu katika maombi yenu!
🙏 ❤️ 🤝 🤲 👍 🛐 🥰 52

Comments