Endson Mabamba
February 26, 2025 at 02:47 PM
UMEACHWA!!
https://youtu.be/uxSTFc6q3pI?si=xMuhp9KmYCnX3P0x
Usiruhusu maumivu ya kuachwa yakufanye upoteze thamani yako. Badala yake, chukua hatua sahihi za uponyaji wa moyo wako na kujifunza kutokana na uzoefu.
Usisahau:
✔️ Subscribe ili upokee mafundisho zaidi ya kiroho na maisha
✔️ Like na Share kwa wengine wanaopitia changamoto kama hii
✔️ Comment mawazo yako au uzoefu wako kuhusu jinsi ya kuponya moyo baada ya kuachwa
🙏
😢
✊
❤️
👍
🤝
🥹
10