
Endson Mabamba
March 1, 2025 at 05:42 PM
📢 *TANGAZO LA IBAADA YA KUANZA WIKI NA BWANA* 🙏🏾✨
Bwana Yesu asifiwe! Tunakukaribisha katika Ibada Maalum ya Kuanza Wiki na Bwana, tukianza siku na maombi, sifa, na Neno la Mungu ili kuweka msingi mzuri wa wiki yetu.
📅 Kila Jumapili
⏰ Muda: Saa 11 - 12 alfajiri
🖥️ Mahali: Zoom
🔗 Link: https://us06web.zoom.us/j/7912639040?pwd=NaZLD9hhZuzqN4KmALpHdnk6eBO4kr.1
Njoo tuanze wiki kwa neema ya Bwana na upokee mwongozo na baraka zake!
Karibu sana! 🙌🏾🔥
🙏
❤️
🤝
🤲
16