Conturetz (Interviews & Beyond)
Conturetz (Interviews & Beyond)
February 10, 2025 at 07:02 AM
Habari members; 1. Tunaendelea na projects za kuwaunganisha WAHITIMU wote kutoka MIKOA YOTE hasa walimu ili kuwahudumia wazazi, wanafunzi, shule & umma kwa ujumla upande wa *Tuitions za nyumbani, vipaji, mitihani, udahili n.k.* USIKOSE terehe 03/03/2025 hapa hapa kwenye channel & makundi yetu ya experts kujisajili kama BALOZI wetu ili kuungana na timu yetu MAKINI. *Kazi kwanza, maokoto badae.* Lameck Method - 0759 648 187 Mwanzilishi & Meneja CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - Dsm Website bofya conturetz.com ujionee With Excellency Since 2018
❤️ 1

Comments