
Conturetz (Interviews & Beyond)
February 10, 2025 at 12:37 PM
Habari members;
MHITIMU USIKOSE HII 👇👇
1. Tunaendelea na projects za kuwaunganisha WAHITIMU wote kutoka MIKOA YOTE hasa walimu ili kuwahudumia wazazi, wanafunzi, shule & umma kwa ujumla upande wa *Tuitions za nyumbani, vipaji, mitihani, udahili, ajira n.k.* USIKOSE terehe 03/03/2025 hapa hapa kwenye channel & makundi yetu ya experts kujisajili kama BALOZI wetu huko uliko ili kuungana na timu yetu MAKINI. *Kazi kwanza, maokoto badae.*
Lameck Method - 0759 648 187
Mwanzilishi & Meneja
CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - Dsm
Website bofya conturetz.com ujionee
With Excellency Since 2018
😢
1