
Conturetz (Interviews & Beyond)
February 28, 2025 at 06:38 AM
Habari members;
1. Tunaendelea na projects za kuwaunganisha WAHITIMU wote kutoka MIKOA YOTE hasa WALIMU ili kuwahudumia wazazi, wanafunzi, shule & umma kwa ujumla upande wa *Tuitions za nyumbani, vipaji, mitihani, ajira, udahili n.k.*
2. Tarehe 03/03/2025 hapa hapa kwenye channel & makundi yetu ya EXPERTS JISAJILII kama BALOZI wetu ili kuungana na timu yetu MAKINI. *Kazi kwanza, maokoto badae.*
3. Elimu sahihi ni ile ya kuibua na kuendeleza vipaji vya mwanafunzi. Mfano *Mpira, uigizaji, riadha, uchekeshaji (komedi), muziki, ngoma, sarakasi n.k (twende Olympics), maofisini kumejaa.*
Lameck Method - 0759 648 187
Mwanzilishi & Meneja
CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - Dsm
Website bofya conturetz.com ujionee
With Excellency Since 2018
👍
1