
John Pambalu
February 10, 2025 at 03:44 AM
" Tusahau tofauti zetu zile za kwenye uchaguzi ili tuweze kutekeleza yale malengo ya pamoja kama Chama kuelekea mbele No Refom no Election hayatafanikiwa bila Umoja" Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa.
👏
🙏
2