Barama Komaji
Barama Komaji
February 14, 2025 at 02:56 AM
Bado siku 30 kuelekea Mashindano Makubwa zaidi ya Qur’aan tukufu Mabara yote Ulimwenguni, Inshaallah usikose 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa. Ni ndani ya Mwezi wa RAMADHAN Qur’aan ima ikunyanyue au ikubwage, Twendeni ikatunyanyueee

Comments