Barama Komaji
Barama Komaji
February 15, 2025 at 02:48 AM
*BADO SIKU 29 KUELEKEA * Mashindano Makubwa zaidi ya Mabara yote Ulimwenguni. Yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa Sheikh Nurdeen Kishk. Yatafanyika 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa ndani ya *RAMADHAN * Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 *Qur’aan ima ikunyanyue au Ikubwage, Twendeni ikatunyanyueee * *NAOMBA USAMBAZE*👏

Comments