Barama Komaji
Barama Komaji
February 15, 2025 at 10:42 AM
ungana nasi @alhikmaalumni katika Hafla ya Chakula cha Iftar, yenye lengo la harambee itakayowezesha upatikanaji wa iftar kwa jamii zenye hali duni; itakayofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 08 mwezi Machi 2025, kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku, Pale Alhikma Nursery school, Temeke, Dar es Salaam, Jirani na Mskiti wa Tungi. . Kiingilio ni shilingi elfu kumi (Tzs 10,000/=) kwa tiketi za kawaida Na elfu thelathini (Tzs 30,000/=) kwa tiketi za VIP. . Nunua tiketi yako mapema katika: 👉 Ofisi za wakuu wa shule za Al-Hikma 👉 Kariakoo: ▪ Bin Makungu Traders (Mtaa wa Livingstone & Pemba) ▪ Moyas General Trading Company Ltd (Mtaa wa Kiungani & Kongo) ▪ Al – kapry Auto spares (Mtaa shaurimoyo & Songea) . Au wasiliana nasi kupitia WhatsApp namba 0745-048-583

Comments