
Barama Komaji
February 16, 2025 at 03:29 PM
Sophia Aman
Mtangazaji wa Tv E.
Anawaalika katika Mashindano Makubwa zaidi ya Mabara yote Ulimwenguni. Yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa Sheikh Nurdeen Kishk. Yatafanyika 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa ndani ya *RAMADHAN * Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿
*Qur’aan ima ikunyanyue au Ikubwage, Twendeni ikatunyanyueee *
*NAOMBA USAMBAZE*👏