
Barama Komaji
February 22, 2025 at 11:20 AM
MADEBE
*ANATUKUMBUSHA NI NDANI YA RAMADHAN YALE*
Mashindano Makubwa zaidi ya Qur’aan Tukufu ya Mabara Yote Ulimwenguni, yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa @SheikhNurdeenKishk
.
Yatafanyika tarehe 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa *Ndani ya Ramadhaan* Dar es Salaam Tanzania
.
*QUR’AAN IMA IKUNYANYUE AU IKUBWAGE, TWENDENI IKATUNYANYUEEE*
.
*NAOMBA USAMBAZE* 👏