Barama Komaji
Barama Komaji
February 23, 2025 at 02:21 PM
Alhamdulillah Mashindano ya Qur’aan ya Tuzo za kimataifa ya Sheikh Kapolo yamemalizika Salama. Sasa ni safari ya Mashindano ya Qur’aan ya Mabara wote Ulimwenguni Yanayosimamiwa na Sheikh Inshaallah yatafanyika 16/03/2025 ndani ya mwezi wa Ramadhan

Comments